Introducción a sms za mapenzi kiswahili 2024
Pata sms moto za mapenzi za kiswahili. Ikiwa una mchumba ambaye ungependa kumwambia maneno matamu ya kumfurahisha, basi utazipata kwenye aplicación hola. Ukitaka kumwandia maneno mazito yenye mapenzi ya kila aina. Ikiwa unataka meseji za kumbukumbu ya siku mliopatana au ya ndoa, aplicación hii iko sms kamili ya kumwandikia mpenzio. Kuna sms za siku ya kuzaliwa pia, meseji ya kumwandikia mpenzi wako kwa siku aliyozaliwa. Isitoshe, Kuna meseji tamu za kumwandikia mpenzio iwapo mmekosana, sms hizo zitampea maana ya kukusamehe. Ukitaka kumwambia mwenzio jinsi unavyomkosa, basi tunazo hizo meseji kwa wingi.
SMS/Meseji za Mapenzi - SMS de amor en swahili
SMS/Meseji za Mapenzi - SMS de amor en swahili
Más detalles